VIJANA NI JESHI LENYE NGUVU
Vijana wengi wanashindwa kuwa wabunifu na kukimbilia vijiweni ati hakuna ajira. badala ya kupata kile wanachokitafuta huambulia ngeo, magonjwa na hata kifo,Hii hutkea baada ya kuona maisha yakizidi kuwa magumu kila kukicha na hivyo kuamua ndipo hujiunga na makundi ya (a)kuvuta bangi (b)ujambazi (c) umalaya{kujiuza} pasipo kujali athari zitakazowakumba baadae.
Wito wangu kwa vijana tujitambue kuwa sisi ni nguzo ya taifa hivyo tukiangamia kwa UKIMWI na vifo mbalimbali taifa litakuwa halina nguvukazi,hebu tujitahidi tufanye kazi tuache uvivu.
VIJANA TUNAWEZA
Jumamosi, 22 Julai 2017
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
UTANDAWAZI NA VIJANA
JibuFutaNi somo lililoshika hatamu kubwa,vijana wameathirika sana na utandawazi na kumtupilia mbali Mungu ambaye ndie muumba wetu.
Mabadiliko yanatakiwa ikiwa ni pamoja na kuchukua hatua za makusudi kufuatilia na kujifunza faida na madhara ya utandawazi kwetu vijana.
Karibu kijana wa mbeya upate kujifunza mambo mbalimbali kupitia kikundi cha ENEZA INJILI ULIMWENGUNI (EIU).
Semina itafanyika katika kanisa la JPCT ilemi,utapata kujifunza mambo yafuatayo;
.kijana na Mungu.
.kijana na utandawazi.
.kijana na uchumi.
Karibu tuubadili ulimwengu wa bijana kuwa wa kiroho.